Kwa muda mrefu nimekuwa mtazamaji tu wa JF na kwa hakika nimekuwa addicted mno na hoja na mijadala ya humu kama mgeni tu, hatimaye na mimi baada ya kuitafuta njia ya kuingilia JF ili niwe mwenyeji nimefanikiwa kutinga kwa kishindo ndani na kuachana na ugeni wa kila siku. Wakuu nipokeeni!!!!
Nimefurahi kuwa sasa
nimekuwa member. Dondoo za hapa ni nzuri sana na nimekuwa nikizifuatilia
kama mgeni kwa muda mrefu sana. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki
JF.