Nipokeeni wana JF

Joleki

Member
Joined
Nov 3, 2013
Posts
27
Reaction score
2
Baada ya kuwa guest kweny JF kwa miezi kadhaa,sasa nimekubaliwa kuwa member.Tafadhali msikose kunielekeza pale ninapokosea maana binti wa Pwani hakosi shanga kiunoni.
 
Karibu sana mdau, we ni me au ke?
 
Baada ya kuwa guest kweny JF kwa miezi kadhaa,sasa nimekubaliwa kuwa member.Tafadhali msikose kunielekeza pale ninapokosea maana binti wa Pwani hakosi shanga kiunoni.

Karibu sana BINTI Joleki jamvini.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…