Maria Roza
JF-Expert Member
- Apr 1, 2009
- 6,803
- 1,601
hapa maria roza ulikuwa DJ ndani ya gari nini? maana duh hii noma kama wao ndio madereva basi walipata ajali
kama hatutakiwi kunywa na kuendesha kwa nn bar kuna car parking?Msisahau wadau msinywe na kuendesha
Msisahau wadau msinywe na kuendesha
Napenda kuwatakia wadau wote wa Jamii forums heri ya mwaka mpya, nimejifunza mengi na kupata marafiki wa aina mbali mbali toka nijiunge nanyi. Mbarikiwe sna sina cha kuwapa ila naombeni mpokee upendo wangu kwenu na kama kuna sehemu nimekosea nitafurahi mkinirekebisha ! mwaka huu ulikuwa wa changamoto nyingi sna kwangu. Heri ya mwaka mpya wadau wote wa Jamii forums yaliopita si ndwele tugange yajayo
Viva Jamii forums!

heri ya mwaka mpya na wewe mpendwa....natumaini mwaka ujao tutakuja na mambo mapya mazuri mengi katika jukwaa letu hili
Wajamaa wamepinda! Ni kama wanaelekea Moshi kwenye Xmas..Kweli eehh!