nipokeeni wananzengo

INTROVERT MAN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2019
Posts
993
Reaction score
1,343
habari za wakti huu wapendwa.... kiufupi nimekuwa guest visitor wa jamii forums kwa kitambo kirefu tangu nimeijua sep.2017...kiukweli ni sehemu murua ambayo imenijuza mengi sana ambayo ni adimu kupata sehemu nyingine..natumaini nitazidi pata ushirikiano ksenu na kupanua zaidi mawanda ya ubongo wangu..
 
karibu
 
Karibu sana
 
Karibu sana jf. Muhimu ni kujiepusha tu na mambo ya uspartacus! Hatuyataki humu jf.
 
Duhhh
 
Duh....hill shati uvccm limekaa njema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…