mitutwe pazi
Senior Member
- Feb 16, 2013
- 150
- 28
Karibu JF.
Karibu sana JF...
Thanks alot, siaminini km nawe umenikaribisha.. Yaani watu8 umenishawishi vya kutosha mpaka nikaingia humu
Hili nalo ni neno muhimu kwa mkaribishwaKaribu sana jamvini, pitia sheria na kanuni za humu.
Kama taifa linaitaji watu ambao watalipa changamoto toward the positive changes, ndivyo hivyo me nimo humu kushirikiana nanyi kuelekea hayo mabadiliko, nipokeeni kuhakikisha hayo yanatokea kwa ushirikiano wetu.