Mtumwa huru
Member
- Aug 10, 2017
- 61
- 98
Naombeni kiti nikae wana jfNi mgeni lakini sina kamba mguuni....Nipeni kiti nikae japo nitokapo si mbali.....fungueni vyenu vinywa tusalimiane huo ndo uungwana! Shikamooni wakubwa
Umefukua mkuu.....Kulikoni mkuu...!!??