Mayunga234
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 1,725
- 1,995
Nipongeze Serikali kwa kuzuia boda boda na bajaji kuingia mjini wamefanya jambo la maana sana.
Bodaboda ndo zinaongoza kwa kusababisha ajali unakuta badaboda anaovertake gari kubwa mwishoe anasababisha ajali na kupoteza maisha ya watu.
Watu wengi sana wamepoteza maisha kwa bodaboda kwaajili ya kuovertake magari bila kuangalia Watu wengi wasio na hatia wamepoteza Maisha kwaajili ya uzembe wa muendesha bodaboda.
Then bodaboda wengi wamekuwa wezi wanajipenyeza kwenye foleni then kama kuna gari kioo akijafungwa basi anapita na vitu vilivyopo kwenye gari.
Kwa jambo hili litapunguza ajali kwa kiasi kikubwa hawa waendesha bodaboda walijua kujichomoa akili sana
Mdogo mdogo Wataanza kuelewa Serikali ikimalizana na hilo Waanze na hawa Wenye nyumba chakavu ambao wameshindwa kuziboresha waondolewe
[emoji419]bodaboda na bajaji kuanzia 1/11/2021 hawataruhusiwa kuingia mjini [emoji91]
bodaboda na bajaji sasa ni mwendo wa kupita porini tuu [emoji23]
[emoji625]Serikali wanataka Tanzania iwe kama Dubai [emoji91]
Kinachofatia ni kuwaondoa wenye nyumba chakavu na chafu Walioshindwa kuziendeleza
Yaani Dar itakuwa kama New York