Nipongezeni, Kaizer is officially a GOLD member!

hahaha sirudii tena sikujua kama upo mwepesi ivo kwen kilaji next time utakamata baltika tu...

nami nimekoma kutoka out na wewe Kaizer sikujuaulikuwa na nia gani mpaka ukaamuakunilewesha mtoto wa watu.
 
Last edited by a moderator:
mi nasubiri unilipie.
Hongera sana

Nilifikiri ni peke yangu ninayesubiria kuhongwa na Kaizer at least kauPlatinum member tu. Kasisi do the needful, ningependa kung'aa na kitu white kama cha mke mkubwa wako AshaDii si waona avatar yangu ni black and white; so hayo macolor mengine siyataki!
 
Kaunga kuhonga kwa mtu kama mimi si ni vibaya au? apo kwa AshaDii, we acha manake ninachopata ni siri yangu ndo unaona ivo,

Hoja hii imeungwa mkono? kama inaungwa mkono ni do ze nidiful, mtumishi wa bwana aende kwa amani

CC Asprin
 
Last edited by a moderator:
Kaunga kuhonga kwa mtu kama mimi si ni vibaya au? apo kwa AshaDii, we acha manake ninachopata ni siri yangu ndo unaona ivo,

Hoja hii imeungwa mkono? kama inaungwa mkono ni do ze nidiful, mtumishi wa bwana aende kwa amani

CC Asprin

Basi tufanye kutoa sadaka sio kuhonga; halafu unatufundishaje? Tutoe kile tunachocherish the most si ndio; na wewe as mtumishi wa Mungu unatakiwa uongoze kwa mfano so a platinum status offer kwa mwanakondoo wako mtiifu is not too much to ask eeh!
 
hapo sasa unamtia majaribuni Mlawi, imeandikwa walawi watakula huko huko madhabahuni, sasa ngoja nikumegee mkate usiotiwa chachu na divai isiyochachushwa.....lol.....
 
Kaunga kuhonga kwa mtu kama mimi si ni vibaya au? apo kwa AshaDii, we acha manake ninachopata ni siri yangu ndo unaona ivo,

Hoja hii imeungwa mkono? kama inaungwa mkono ni do ze nidiful, mtumishi wa bwana aende kwa amani

CC Asprin
Na hilo ndilo neno la chama....

Sifa kwako ee Kaizer.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…