Mwezi wa kwanza kabla haujaisha nitakuwa tayari nimeanza kufuga nguruwe kidogo, kuku kidogo na mbuzi kidogo.
Naombeni mnisaidie kutunga jina ambalo ji zuri, lina kumbukika kirahisi na ambalo nitaweza kulitumia kwenye biashara nyingine kama kuanzisha maji yangu, mabasi, stationaries nakadhalika.
Jina ambalo baadaye nitakuj kutumia katika kila biashara yangu kama ilivyo AZAM.
Karibuni.
Hongera sana mkuu waweza jaribu haya kama unapendelea english Names: VISION, DAYDREAM, FANTACY, FANCY, ELEGANT, PROMINENT, GREAT, EMINENT, VITAL, CHIEF, PARAMOUNT, DOMINENT, MAJOR, PRIME,,,,,,,,,,,,,,,, Ukiunganisha na Enterprise ,,, Investments,,,,, Venture,,,,, Company,,,,, na mengine mengi kama bado hujarizika nijulishe tena bado yapo mengi sana kila la heri