NISAHIHI KUBADILISHA OIL KWA KUFATA KILOMETERS?

Joez

Member
Joined
Apr 22, 2014
Posts
27
Reaction score
14
Nimekuwa nikijiuliza sana wengi wetu humu tunabadilisha Oil na spare nyingine za gar kwa kufata km ilizotembea je mfano Oil huwa inaendelea kufanya kaz hata gar isipokuwa kwny motion mfano kwny folen nk gar inapokuwa silence, Je kwann Oil ya gar isingekuwa inabadilishwa kwa kufata running time ya engine?
 
running time inaweza ikawa kidogo zaidi ya gari kutembea kilometers mfano kutembea kilometers gari inatumia sana mafuta na oil zaidi ya running time maana running time inaweza ikawa iko silent ila itachukua muda sana kubadili oil ila kilometer inachukua muda mchache ila vyote sawa calculate running time by kilometers driven unaweza ukapata times 10 labda yote sawa
 
Kazi ya Oil ni kusaidia kupunguza msuguano wa machine engine inapo fanya kazi.

Engine inafanya kazi muda gani, gari linapotembea au likiwa tuli. So likiwa linatembea odometer inaongeza kilometres likiwa tuli inasimama. Ila oil iaendelea kutumika.

Kwahiyo tukiwa kwenye foreni, vituo vya mafuta na sehemu zote ambazo gari halitembei ila engine inaendelea kufanya kazi, oil inaendelea kutumika while kilometres haziongezeki.

Kwahiyo me naona ni vema kua unafanya service ya oil ata kama zile recommended kilometres hazijafika.

Huo mtazamo wangu.
 
oil kutumika ina +/-

ukiweka oil kwenye gari ukaendesha few km na ukapaki say kwa 3 months and more bila kuendesha gari hiyo, ukitaka kuendesha tena lazima ubadilishe oil.

Gari kuwa silence yes viscosity inapungua as engine inazinguka lakini R & D na manufacturers walishaangalia factors zote, remember R & D ni zaidi ya maono ya poor Tanzanian
 
Kazi ya Oil ni kusaidia kupunguza msuguano wa machine engine inapo fanya kazi.

Engine inafanya kazi muda gani, gari linapotembea au likiwa tuli. So likiwa linatembea odometer inaongeza kilometres likiwa tuli inasimama. Ila oil iaendelea kutumika.

Kwahiyo tukiwa kwenye foreni, vituo vya mafuta na sehemu zote ambazo gari halitembei ila engine inaendelea kufanya kazi, oil inaendelea kutumika while kilometres haziongezeki.

Kwahiyo me naona ni vema kua unafanya service ya oil ata kama zile recommended kilometres hazijafika.

Huo mtazamo wangu.
Walioweka service interval wanajua kuwa kuna muda engine iko while odometer haisomi. They've taken that into account.
 
Standard service for European cars ni 10,000miles or 12 months whichever comes first.
Yaani ukiendesha gari mwaka mzima hata kama ni 1000miles lazima ufanye service au gari ikifikisha 10,000miles hata kama ni mwezi mmoja lazima ufanye service.
 
Mkuu usipende kufanya service kwa kufuata kilomita pia inategemea umeweka oil ipi!!!
Nilifanya service mwaka jana November na ilipofika March nimebadili upya
 
Najua ninachoongea.
Unajua hawa mafundi wetu uswahilini sometimes wanaongea ukweli na sometimes hawajui kitu chochote ila wanabahatisha tu
Nimekuwa makini sana na kufanya service kila baada ya miezi kadhaa au kila baada ya km 3000,nakumbuka November 2017 nilitumia oil ya bei kubwa 58000/=(BP oil)

Sasa unaweza kunisaidia kujua nakosea wapi?au nifuate km10000 ndipo nimwage oil?

Asante
 
Post yangu ilikuwa inahusu European cars na oil zake. Hizi za Toyota na oil zisizoeleweka usizidishe km 3,000.
 
Kazi ya Oil ni kusaidia kupunguza msuguano wa machine engine inapo fanya kazi.

Engine inafanya kazi muda gani, gari linapotembea au likiwa tuli. So likiwa linatembea odometer inaongeza kilometres likiwa tuli inasimama. Ila oil iaendelea kutumika.

Kwahiyo tukiwa kwenye foreni, vituo vya mafuta na sehemu zote ambazo gari halitembei ila engine inaendelea kufanya kazi, oil inaendelea kutumika while kilometres haziongezeki.

Kwahiyo me naona ni vema kua unafanya service ya oil ata kama zile recommended kilometres hazijafika.

Huo mtazamo wangu.
Huwa wanasema tufanye service kwa kuangalia kati ya muda na kilometa. Mfano, kwa gari linalotumika mara chache, unakuta miezi mitatu imepita ila halijafikisha km 3000-5000 etc, so hapo unashauriwa ufanye service kwa kuangalia muda, at least miezi mitatu. Ila kwa gari linalotumika saana, kama magari ya abiria, kilometa zinafika mapema saana ndani ya muda mfupi. Fikiri gari la Mwanza Dsm. In two days lina km karibu 3000. So matumizi yako yataamua ipi njia sahihi.
 
Na sisi wenye baiskeli tunapaswa kufanya service kwa utaratibu upi?
 
Hizo hesabu zilishapigwa na manufacturers kuanzia gari ikiwa in oddo meter mpk ikiwa inatembea kwahiyo jaribu kufuata kilichoandikwa kwenye manual book husika ya gari
 
Back
Top Bottom