RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
Mkuu tatizo sio kitu unachokipenda mie naulizia usahihi wahicho,mfano umesoma miaka minne au mitano baada hapo unapeleka nguvu na akili sehemu nyingine."..Do what you love..fanya unachokipenda.." Means mtu ana uhuru wa kufanya chochote ilimradi tu kisiwe haramu..au asivunje sheria..
Hamna shida kabisa, as long as unafuraha na unachokifanya.Mfano.
Nisahihi injinia kuacha fani yake nakwenda kufanya biashara ya mbao?.
Au daktari kuacha fani yake na kwenda shamba kulima?.
Maoni yenu tafadhali.
Asante Madam Rebeca 83 binafsi mie namaliza chuo mwaka huu,na nimepata kibarau katika sekta ya uhandisi,lakini pia nimepata udhamini wakilimo kutoka katika kampuni moja inayojihusisha na uzalishaji mborea.Pia huwa najishughulisha na biashara ndogondogo,sasa mpaka kufikia hapa bado akili yangu ipo njiapanda.inategemea mkuu,pima kama kunalipa nenda,ila...
jiaminishe kwanza lakini sio upate hela ya haraka,
afu in long term isikuingizie hela, au haiko sustainable....
sijui ikoje ila unaweza ukaomba likizo isiyo na malipo..ukaangalia upepo wa biashara yako...kama inafaa...
Asante kiongozi tatizo shinikizo lafamilia nalo limekuwa kubwa,wakitaka niajiriwe.Kila mmoja anakusudi maalum ya kuwepo duniani, na Mungu aliweka makusudi haya ili kila mwanadamu aweze kumsaidia mwingine kutegemeana na ile zawadi aliyopewa na Mungu.
Ni kweli inawezekana!! Mfano mzuri ni SWAMI GAUPAR huyu aligraduate as electrical engineer, lakini kwasasa ni Monk na pia inspiration speaker, Antony Luvanda huyu yeye kafanya kazi kama radio presenter akaacha na kuajiriwa bank, leo hii ni inspiration speaker na pia anahusika na mambo ya event planning!!
Mwingine ni MIMI (son of the son) Industrial Engineer, ila ni maandishi wa personal development books na pia inspiration speaker!! Life is all about your calling, professional yako inaweza ikawa may be kwasababu ya mtazamo wa jamii inayokuzunguka, lakini haimaanishi kuwa huo ndo wito!
Kila mmoja anakusudi maalum ya kuwepo duniani, na Mungu aliweka makusudi haya ili kila mwanadamu aweze kumsaidia mwingine kutegemeana na ile zawadi aliyopewa na Mungu.
Ni kweli inawezekana!! Mfano mzuri ni SWAMI GAUPAR huyu aligraduate as electrical engineer, lakini kwasasa ni Monk na pia inspiration speaker, Antony Luvanda huyu yeye kafanya kazi kama radio presenter akaacha na kuajiriwa bank, leo hii ni inspiration speaker na pia anahusika na mambo ya event planning!!
Mwingine ni MIMI (son of the son) Industrial Engineer, ila ni maandishi wa personal development books na pia inspiration speaker!! Life is all about your calling, professional yako inaweza ikawa may be kwasababu ya mtazamo wa jamii inayokuzunguka, lakini haimaanishi kuwa huo ndo wito!
Asante Madam Rebeca 83 binafsi mie namaliza chuo mwaka huu,na nimepata kibarau katika sekta ya uhandisi,lakini pia nimepata udhamini wakilimo kutoka katika kampuni moja inayojihusisha na uzalishaji mborea.Pia huwa najishughulisha na biashara ndogondogo,sasa mpaka kufikia hapa bado akili yangu ipo njiapanda.
Hakika mkuu.Afrika 80% ya wataaluma wake wanafanya kazi tofauti na walichokisomea,hapa bongo inaweza kuwa hata 90% kabisa..
Asante Madam Rebeca 83 mie kiukweli binafsi naupenda uhandisi kiasi,lakini nachokipenda zaidi nikufanya biashara,ndoto yangu kubwa nahitaji nijenge msingi imara,ambao ndugu zangu pamoja na vizazi vyao na vyangu mbeleni waje waishi maisha mazuri.mkuu pima wapi unahisi utakua 'comfortable' I mean inakaribiana na 'interest ' zako ulizokua nazoβ¦...
choice ni yako,kwa vile umesomea uhandisi mie nakushauri uchague kazi ya uhandisi inaweza isiingize hela kubwa,lakini utakua happy kwa ufupi hii ni 'comfortable zone' yako,
unless ulivyokua unasomea uhandisi haukuenjoy kabisaa,maprofessor walikua wanakuboa tu.β¦πππππππ,
lakini pia kama ulishawahi kuwa mkulima na kujua business yake...namaanisha una uzoefu nayo,unaweza kuchagua kilimo pia....
cha muhimu ni furaha,usiangalie mamilion utakayoingizai,nimejifunza unaweza na kuwa na kidogo...na kuwa happy....
Siri ipo sentensi ya mwisho!! Ukiwa na moyo mgumu na ukaweza kuvuka hiyo changamoto you will become unstoppable I assure you!!Asante Madam Rebeca 83 mie kiukweli binafsi naupenda uhandisi kiasi,lakini nachokipenda zaidi nikufanya biashara,ndoto yangu kubwa nahitaji nijenge msingi imara,ambao ndugu zangu pamoja na vizazi vyao na vyangu mbeleni waje waishi maisha mazuri.
Mfano biashara ndogondogo nazofanya kwa mwezi zinaniingizia kiasi kidogo kama 800K to 1M.Lakini pia kiajira nimechopata kipato chake kinarange humohumo.Sasa kiukweli nataka nifanye biashara,ingawa familia sasa ivi imeanza kuniona kichaa.
Walishafanya kazi yao ya kukusomesha wamemaliza. Kama deni utawalipa kulingana na moyo wako. Hukuomba kuzaliwa ni kwa raha zao ukazaliwa hivyo do not be obliged to obey your parents sababu wengi wetu ni wakale. Last born wangu ana graduate Uni ndugu zake kila mmoja anafanya vyake. Aliyesomea udaktari sasa ameamua kufundisha high school na part time ya surgery, wa Bussiness admin amejiajiri na anafanya vizuri na mimi sitii neno. Do what you love not what you are told to do! Ndiyo maana Bongo watu wanaenda kazini kwa kujilazimisha maana enzi zetu ulikuwa unapangiwa post kabla hata hujatoka chuo.,Asante Madam Rebeca 83 mie kiukweli binafsi naupenda uhandisi kiasi,lakini nachokipenda zaidi nikufanya biashara,ndoto yangu kubwa nahitaji nijenge msingi imara,ambao ndugu zangu pamoja na vizazi vyao na vyangu mbeleni waje waishi maisha mazuri.
Mfano biashara ndogondogo nazofanya kwa mwezi zinaniingizia kiasi kidogo kama 800K to 1M.Lakini pia kiajira nimechopata kipato chake kinarange humohumo.Sasa kiukweli nataka nifanye biashara,ingawa familia sasa ivi imeanza kuniona kichaa.