Nisaidaeni ushauri wa kisheria na kimaadili wana Jamii forums

Du,umenipa ushauri mzuri sana ndugu yangu, nadhani kama mama yake atakubali kunisamehe,basi sitafanya haraka kuintroduce nia yangu ya kumuoa huyu binti ili ku allow time huenda akaanza yeye mwenyewe kuniuliza ninampango gani na binti huyo after all these series of events. hapo ndipo nitakapotake advantage...... imekaaje hio....?
 
Ulaniwe wewe na uzao wako wote!!!. utajuta kufanya hilo ulilofanya.

Mungu akutie nguvu.
 
asante sana,nashukuru sana kwa ushauri, japo baada ya mama yake kujua nadhani itakuwa taabu kuonana nae mara kwa mara hapo mjini,ukuzingatia ofisi zetu zipo jirani sana na kuna possibility ya kuonana nae karibia kila siku mkuu...
 
samahani sana dada kwa jinsi unavyoandika unaonekana swala hili limekukera sana,japo pamoja na madongo unayonipa but finaly unanipa ushauri. haya mambo yanatokea kwa binabamu hapahapa duniani,na pia hata mimi najutia sana,lakini to be honest nampenda sana huyu binti na nisinge penda kuwa mbali kama unavyosema niachane na mtoto wangu alelewe na baba wa kambo,namwonea huruma sana ukizingatia historia yenyewe ndo kama hii.....
 

Hata mtoto akianguka kwa utundu anaambiwa makosa yake huku akibembelezwa ili asiridie tena!!Haya nenda kaoe mwanao baba....kila la kheri!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…