Mtayarishaji
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 291
- 198
mimi kuna mwanamke maarufu hapa JF nina mmilikHongera..i,na nilimtoa humu,alikuwa anafuatilia nyendo zangu baada ya kuvutiwa na baadhi ya posts zangu za ujinga ujinga,amekuta nje ya JF kuwa kumbe ni mtu wa chaguo lake,so tupo tunaendeleza gurudumu la amri iliyo kuu,upendo..so inawezekana mkuu!
Ukishidwa kijiandaa kushinda jiandae kushidwa
Wapo mfano smart n mahondaw
Nifah n The bold
Kwa uzoefu wangu humu hakuna kitu, labda kama one night stand. Note wengi ni wazee, shapeless na mengine mengi yasiyopendeza
Wapo, ila hawawezi kusema...
Kwa nini lakini!?
Lete experience yako sasa mbona unakimbia?Kwa uzoefu wangu humu hakuna kitu, labda kama one night stand. Note wengi ni wazee, shapeless na mengine mengi yasiyopendeza
Ni ile dhana watu wanachukulia kuwa kwenye mitandao huwezi kupata mpenzi/mke/mume, wanapatana huko ni Malaya tu. Ila wapo wengi tu wema na wamefanikiwa kuanza familia baada ya kukutana kwenye mitandao
Usisumbuke kujaribu. Kama ni Ke jitanabaishe hapa hapa.
Aisee weka bango chiefMie ni Me.
Aisee weka bango chief