Nisaidie jinsi ya kupata Postal Adress

Una maana Post Office Box Number? (P.O.Box)
Kama ni hiyo nenda kwenye ofisi yoyote ya posta iliyo karibu nawe.
 
barua ya serikali za mtaa, mtu wa Karibu baada ya wewe, Na kama elfu 22 hapa ni kufungua box Na ada ya mwaka mmoja. Picha passport size zako Na huyo mtu mwingine wa Karibu. Nenda ofisi za posta Karibu yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…