bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,370
- 3,962
Wasalaam geeks!
Mie bwana ni mgeni kidogo kwenye hizi mambo,niliweka template hizi zinazosupoort ads kwenye blog yangu ila imekuja na maneno flani ya kifaransa nimehangaika kuyatoa nimeshindwa.ni kama yanavyoonekana hapo chini.yanatokea immediately after blog description.