bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,370
- 3,962
Jukwa la magari hili sio la Technology boss.Ahaaa wadau mnanichunia?sio fresh bwana
Nipe access nitoe hayo maneno ni kwaida huwa yanawekwa kama sample tuWasalaam geeks!
Mie bwana ni mgeni kidogo kwenye hizi mambo,niliweka template hizi zinazosupoort ads kwenye blog yangu ila imekuja na maneno flani ya kifaransa nimehangaika kuyatoa nimeshindwa.ni kama yanavyoonekana hapo chini.yanatokea immediately after blog description.
View attachment 689702
Niambie jinsi ya kufanya ,siku nyingine tena nikupe accessNipe access nitoe hayo maneno ni kwaida huwa yanawekwa kama sample tu