Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,904
- 1,064
Wakuu nimenunua hii modem ya huawei e1550 ya Zain/airtel na nimeweka line ya airtel.
Lakini kila nikijaribu ku connect inaniambia "The SIM/USIM card not been detected or invalid" wakati inaniambia hivyo card iko ndani. Nimeweka na card ya simu yangu ninayotumia bado napata same message. Je nifanyeje? Najua hapa kuna wenye vichwa vikali na nitasaidiwa haraka.
Hawajibu wajinga hawa. Mi nadhani inatakiwa niifanyie configuration fulani. Lakini sielewi namna ya kufanya au vipi?
Piga customer service . watu wanalipwa mshahara kwa kazi hiyo ukishindwa rudi utasaidiwa.
Bado napata jibu lile lile na nimejaribu kubofya connect imenipa message hii " You can't connect before register an available network" je hii ndio nafanyaje?jaribu ku uninstall prog na ui install upya
Bado napata jibu lile lile na nimejaribu kubofya connect imenipa message hii " You can't connect before register an available network" je hii ndio nafanyaje?