Makubwaaaa au naota kama umeelewa nieleweshe tafasaliiiSAWA MKUU
Anamsifia na kumuelewa MUNGU...yaani anasifia sifa zakeMakubwaaaa au naota kama umeelewa nieleweshe tafasaliii
Mungu was mbinguniyaani ni Mungu yupi anaemsifia? my dear popote uandikapo mungu inamaanisha miungu, Mungu siku zote lazima uanze na herufi kubwa. Hili ndilo najua ndoo maana Demiss hakuelewa
hiyo keyboard yako ina shidaMungu was mbinguni
All mtoa mwanae wapekee yesu kristo kusulubiwa msalabani kwa ajili ya zambi zetu mom na ww
SAWA BABY SHEMyaani ni Mungu yupi anaemsifia? my dear popote uandikapo mungu inamaanisha miungu, Mungu siku zote lazima uanze na herufi kubwa. Hili ndilo najua ndoo maana Demiss hakuelewa
haya mkuu ila kama anavyostahili mpe heshima yakeHahahahh.
Ina wezekana lakini maana n ile ile mkuu
bby shem bhana naona huoni vitu haraka hakaraSAWA BABY SHEM
asante sana and pamojaHahahahahahahaj.
Nimekuelewa sana