Nisaidie kuokoa Ndoa yangu, Nipo njia Panda !

Nisaidie kuokoa Ndoa yangu, Nipo njia Panda !

The Fixer

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2008
Posts
1,365
Reaction score
594
Wadau,
Assalaam Aleykum ! Wewe ndugu yetu sote ni (ummat wa Mohammad) angalia mwenendo wa mkeo, kidogo si mzuri kuna Ofisa anaiharibu ndoa yako ni muda sasa. Fanya uchunguzi wako taratibu , tumevumilia tumeshindwa ., muangalie sana rafiki wa mkeo si mtu mzuri kabisa kwako , ndio mpambe ,
 
Muhusika nadhani atakuwa amemuelewa. Nadhani anamwambia mdau wa humu. Haya wenye wake anzeni upelelezi
 
huyu jamaa ni msoma nyota au?lol!eti breaking newzer!kiingereza tabu kwelikweli!jina haliwezi tengeneza jina!tendo ndio linaweza tengeneza jina!news ni jina!you better call yourself News Breaker!!!!!unless you intended to make us laugh!
 
Atakuwa katumiwa msg ya umbea huyo na mtu kuwa mkewe analiwa...basi kachanganyikiwaaa! Kwetu uZaramoni ukipewa umbea mkeo analiwa kwanza unshangilia kuwa umeoa mke mzuri! Kisha ndio unakasirika na kufanya yatakayofuatia..
 
Mbn husomek!!


Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Muhusika nadhani atakuwa amemuelewa. Nadhani anamwambia mdau wa humu. Haya wenye wake anzeni upelelezi

nyumba kubwa!hii habari ya jamaa iko too general,sasa si kila mtu atakimbilia kwenda kumchunguza mkewe?halafu imekaa ki-shehe yahya!

btw,nyumba kubwa kwanini umeweka picha ya mwanaume wakati wewe ni nyumba kubwa?nyumba kubwa lazima litakuwa bonge la mama bana!lol
 
Mtaelewa tu ! Mnajifanya haumuelewi eenh
 
Mdau hata mimi sijakuelewa aisee!Hebu fafanua vizuri basi tuchangie hoja!
 
Majibu tayari unayo yaani: "Fanya uchunguzi wako taratibu , tumevumilia tumeshindwa ., muangalie sana rafiki wa mkeo si mtu mzuri kabisa kwako , ndio mpambe".
 
Back
Top Bottom