Nisaidie kuyaweka maneno haya kwa kiswahili chakisheria

Nisaidie kuyaweka maneno haya kwa kiswahili chakisheria

D 2de A

Senior Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
183
Reaction score
32
"Majority rule and minority right."
natanguliza shukrani wakuu
 
"Majority rule and minority right."
natanguliza shukrani wakuu

majority = zaidi ya nusu / walio wengi minority = chini ya nusu / walio wachache


Majority rule = Utawala wa walio wengi

minority rights (siyo 'right') = haki ya walio wachache


Wengine wanaweza kuongeza na labda kuboresha Kiswahili changu!
 
logically it make sense, i like it! Skype
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom