WILSON MWIJAGE
JF-Expert Member
- May 30, 2011
- 276
- 78
Ndugu,
Wakati binti ndogo wa miaka sita (6) anacheza na wenzake alirusha chupa na chupa hiyo ikamgonga na kumgo'a meno mawili mtoto mwenzake wa miaka 7 aliyekuwa anacheza naye.
Swali: Mzazi au mlezi wa mtoto aliyerusha chupa;
1. Anawajibika vipi kisheria?
2. Ni mzigo kiasi gani anapaswa kuubeba?
3. Ni sheria ipi / vifungu vipi atashitakiwa navyo na kumtia hatiani? AU
4. Ni sheria ipi / vifungu vipi vinampa uhuru wa kuwa huru
Nitashukru sana
Mambo ya watoto ni vyema wazazi mkaa pamoja na mkaelewana kabla ya kutafuta sheria zinasemaje.
My Take:
Inawezatokea pia siku nyingine mtoto wako akamuumiza mtoto wa jirani yako, itakuwaje hapo?