Nisaidie maoni/ushauri/mawazo

huyu wa sasa unampenda kwa sababu unampenda au kwa sababu uko nae karibu(ia) mwaka mzima?
 
Kosa ni lako toka mwanzo. Kwanini ulipunguza mapenzi kwa BF wa mwanzo pale ulipokataliwa wakati yeye alikuwa bado anaonesha mapenzi yake yote kwako? kwanini ulimpush away? ulikata mawasiliano nae? Inaonekana u mtu wa kukata tamaa mapema na sio mvumilivu na jasiri kama mwenzio ambaye ameweza kuvumilia na kuwaconvice wazazi wake mpk kukubali.

By The Way: Siwezi kukuconvince umchague yupi kutokana na maelezo yako haya, suala la ndoa ni nyeti na linabidi kuangalia vigezo vingi. U need to measure yourself, nani mwenye upendo wa kweli, pia ondoa chuki ulizozijenga kwa BF wako wa kwanza.
 
Hapo no discussion endelea na huyo wapili kwani huyo wa kwanza ana wivu wa kuku si wa mapenzi ya kweli, si unajua tabia ya kuku? Hataki kuona mwenzie akipata hata kama yeye kazungukwa na wanne.
 
Sikiliza dada yangu mpendwa,mimi naona uyo BF wa kwanza anatakiwa akapate kikombe kwa babu kwani atakutesa on tym2 na familia yake so wewe kuwanaye wa sasa tu.
 
khe!ajabu nyingine!out of no where kapeleka barua?siyo mlikuwa mnawasiliana bado?je alishindwa nini kuwakomvis wazazi wake mwanzo?kuwa na msimamo songa mbele:car:

Mawasiliano yalikuwepo ya kusalimiana tu lakini nimeshangaa katuma watu home
 
Asante kwa ushauri wako
 
Unajua una mambo ya ajabu sana unaulza kwa nini hakufanya hvo mwanzo wakat wewe ndo ulikata mawasiliano mwanzo ulitaka afanye nini uamuz unao cz unajua unaempenda

Ndugu sijui kama umenielewa nilivyoeleza
 
Hivi kwa nini unakuja na majina (ID) nyingi humu ndani?

Wewe ni Fanta Face au Mamuu55

Hii ni kero, tuna hakika gani kwamba hichi kisa hujakitunga??
AARGGHH

Yaani ???

Mawasiliano yalikuwepo ya kusalimiana tu lakini nimeshangaa katuma watu home

I love him

Mkubwa unadiscuss jina langu au unanisaidia mawazo???? Please :focus:
 
Hivi kwa nini unakuja na majina (ID) nyingi humu ndani?

Wewe ni Fanta Face au Mamuu55

Hii ni kero, tuna hakika gani kwamba hichi kisa hujakitunga??
AARGGHH

Yaani ???

Ha ha ha ha umeniwahi mpendwa acha bana umeona eehhh
 
Ha ha ha ha umeniwahi mpendwa acha bana umeona eehhh

Wamezidi sana hawa ....ona anavyojichanganya sasa!!

Huu ni uj***!! Alaaaa

Halafu leo unaongea haya....

Sijui mnatufanya watoto humu ndani...mtaacha tuwalaani bure....hii ni nini sasa??
 
Wamezi sana hawa ....ona anavyojichanganya sasa!!

Huu ni uj***!! Alaaaa

Halafu leo unaongea haya....

Sijui mnatufanya watoto humu ndani...mtaacha tuwalaani bure....hii ni nini sasa??

Hii kitu imenifanya nimetukanwa leo tukisema tunaambiwa tuache umbea bora umesema wewe leo maana ningesema mimi PM za matusi kibao zingejaa kwenye inbox yangu
 
Hii kitu imenifanya nimetukanwa leo tukisema tunaambiwa tuache umbea bora umesema wewe leo maana ningesema mimi PM za matusi kibao zingejaa kwenye inbox yangu

khe!mama pole,,,kumbe mbona hizi sred zinachanganya?sasa ni ili nini jamani?
 
Hii kitu imenifanya nimetukanwa leo tukisema tunaambiwa tuache umbea bora umesema wewe leo maana ningesema mimi PM za matusi kibao zingejaa kwenye inbox yangu

Pole sana.. ndo maisha..wakati mwingine mtu unajawa na huruma ya kutaka kusaidia kwa moyo wote, lakini watu wanaleta michezo ya kitoto tu..
Usikate tamaa..endelea kuwapa ushauri
 
khe!mama pole,,,kumbe mbona hizi sred zinachanganya?sasa ni ili nini jamani?

Nimetoka kusema asubuhi watu waache kucheza na akili za watu wanaleta thread za uongo tunapoteza muda bure wewe kilichonipata ni PM za kutukanwa na kuambiwa niache umbea kama sura yangu ha ha ha ha nikacheka na kupotezea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…