Pole sana.. ndo maisha..wakati mwingine mtu unajawa na huruma ya kutaka kusaidia kwa moyo wote, lakini watu wanaleta michezo ya kitoto tu..
Usikate tamaa..endelea kuwapa ushauri
Nimetoka kusema asubuhi watu waache kucheza na akili za watu wanaleta thread za uongo tunapoteza muda bure wewe kilichonipata ni PM za kutukanwa na kuambiwa niache umbea kama sura yangu ha ha ha ha nikacheka na kupotezea
dah!pole sana,,,watu hawako siriaz bana hata hapa wacha nisepe,twenzetu kibera
DA kauka uta2umbua wengu humu,wengne 2napenda kuuza maneno jf mana nikisema sura ntakua muongo make avatar zote ni uchakachuzi m2pu.Yaani we acha tu mpaka mtu unakosa imani na thread unaona kama za kutunga zote
Yaani we acha tu mpaka mtu unakosa imani na thread unaona kama za kutunga zote
DA kauka uta2umbua wengu humu,wengne 2napenda kuuza maneno jf mana nikisema sura ntakua muongo make avatar zote ni uchakachuzi m2pu.
aje tu kivingine, inawezekana kweli ana matatizo.. mleta thread, nafikiri inabidi uandike upya na uje uapologize hapa kwa wanajamvi..
Mkubwa unadiscuss jina langu au unanisaidia mawazo???? Please :focus:
Hii kitu imenifanya nimetukanwa leo tukisema tunaambiwa tuache umbea bora umesema wewe leo maana ningesema mimi PM za matusi kibao zingejaa kwenye inbox yangu
Olewa mwaya na huyo wa sasa huyo wa kwanza hana maamuzi yake mwenyewe hafai
Mawasiliano yalikuwepo ya kusalimiana tu lakini nimeshangaa katuma watu home