Nisaidie Mawazo yako katika gari hili

Chabo

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2011
Posts
1,093
Reaction score
1,154
Habarini wajameni,

Baada ya kuhangaika na bei za Noah show rooms hatimaye nimenyoosha mikono.maana bei imepanda sana.Nimefanikiwa kukutana na gari hii BF na muonekano wake ni kama Noah ila gharama yake ya manunuzi ni ndogo kidogo ukilinganisha na Noah..hivyo naomba kwa anayezifahamu gari hizi anifahamishe Ubora na Udhaifu wake.msaada wenu ni muhimu kwangu.​

Unajua,

Unaponunua gari, usiangalie upande wako pekee bali unatakiwa kuangalia na

Mafundi wanaouzoefu gani na gari unalonunua (maana huwezi kuwakwepa wale)

Ukiitumia, ikiwa utaiuza, itakua na thamani gani, napia itakuchukua muda gan

Kuna gari ambazo, , ukinunua ni kama umekula kiapo nazo, huwezi kuachana nazo maana kuiuza inakua changamoto.
 
Unajua,
Khjvb
Unaponunua gari, usiangalie upande wako pekee bali unatakiwa kuangalia na

Mafundi wanaouzoefu gani na gari unalonunua (maana huwezi kuwakwepa wale)

Ukiitumia, ikiwa utaiuza, itakua na thamani gani, napia itakuchukua muda gan

Kuna

Nashukuru mkuu kwa mawazo yako.
 
Anunue Carina T.I au siyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…