CHIKITITA
JF-Expert Member
- May 1, 2013
- 445
- 158
Mim nina biashara zangu ninazofanya kama shughuli ya ziada ya kujiongezea kipato, kuna mtu alikuja na kuchukua vitu vyenye thamani ya tsh 400000 mwezi wa 12 mwaka jana na makubaliano ilikuwa alipe ndani ya huo huo mwez, jambo la ajabu kila nikimdai alikuwa akinidanganya oooh nitakurushia hiyo hela mara jioni mara kesho, sasa hiv hata simu hapokei na akiona vip anazima kabisa simu, kwa kwel kaniudhi sana nataka nimfungulie mashtaka, naomba msaada sheria inasemaje? nategemea mwongozo wenu ili ikibidi kesho niamkie kituo cha police