Nisaidie nahitaji maboksi ya kufungashia bidhaa nitapata wapi ?

Nisaidie nahitaji maboksi ya kufungashia bidhaa nitapata wapi ?

ehee kumbe

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2013
Posts
267
Reaction score
155
Wana jf wenzangu,mimi ni mfugaji wa nyuki na mzalishaji mkubwa asali.ninahitaji maboksi ya karatasi ngumu kwa ajili ya kuweka chupa za asali.maboksi hayo yawe na uwezo wa kubeba dazani moja ya chupa za ujazo wa lita moja.nimejalibu kutafuta niwapi wanatengeneza ili nitengenezewe nimekosa.naomba kama kuna mtu anatengeneza au anajua wapi yanatengenezwa naomba nijulishe.
Nasubiri mnijuze
 
Sawa npo tayar kukusaidia je upo wp dar au mkoani
 
Kuna mitaa kariakoo niliona duka la kuuza maboksi nahisi ni uhuru st ila sina uhakika sana
 
Nenda mtaa wa morogoro na ule wa Mosque street--Nyuma ya msikiti wa Ibadhi utapata !!!
 
Back
Top Bottom