Nisaidie, nawashwa na kuvimba

Nisaidie, nawashwa na kuvimba

itel100

New Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
4
Reaction score
0
Please kila siku ya mungu lazima nijiwashwe tena hata mara 100 alfu navimba hivi tatizo ni nini jamani naombeni mnisaidie.
 
Kapime mzio/allergy na je unapaka mafuta gani mwilini? unaishi wapi?
 
nenda hospital yaweza kuwa allergy hiyo
 
Back
Top Bottom