Nisaidie nijue chuo kizuri cha mapishi kwa dar

Nisaidie nijue chuo kizuri cha mapishi kwa dar

heartbeats

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
6,736
Reaction score
10,669
Helow Wakuu

Nina binti yangu anapendelea haya mambo ya mapishi nimempeleka akajifunze ufundi nguo amemaliza yupo vyema ila bado akili zake zinahitaji kujifunza upishi

Mwenye kutambua chuo chochote kilichosajiliwa na serikali ambacho kinatoa coz za upishi na kilicho bora hasa kwa dar es salaam anijuze

Pia ikiwezekana vigezo vya kujiunga na ada

Shukrani uzi tayari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaribu National College of Tourism (NCT),
tembelea tovuti yao angalia kozi wanazotoa kama ata fit mpeleke ni chuo cha serikali na ada zake zimesimama so ujipange au mpeleke Veta nadhani wanatoa kozi hizo pia,

Ikishindikana kabisa mlete kwangu nitamfundisha mapishi mbali mbali bureeee.
 
Thank you

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom