Mwana Mnyonge
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 518
- 451
kuna mtu ametafuta kazi kwa muda mrefu sana hajapata mvumilivu umemshinda ,yupo tayari kutoa pesa ili apate kazi kwa mtu ambaye atamsaidia kwa hilo hata kumconnect na mtu ambaye anaweza kumsaidia,ana bachelor ya accounting .anategemewa na familia yake msaada jamani
ambaye yupo tayari ani PM.
nikweli kabisa wala hata hujakoseahizo pesa ni bora utoe sadaka kwa wasiojiweza na Mungu atakupa kazi.
Ni jinsia gani maana kama mwaname atatusumbua sana taja jinsia yake ili tumsaidie, alafu amemaliza chuo gani na mwaka gani na amefauluy kiasi gani