Nisaidie process ya kubadili kozi chuo cha afya cha serikali.

Rwebo

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2015
Posts
1,418
Reaction score
1,820
Wakuu natumai hamjambo. Kijana wangu wa kiume amechaguliwa kujiunga na chuo cha afya baada ya kumaliza kidato cha nne. Katika matokeo yake alipata DCC ktk tahasusi ya PCB, amechaguliwa kusomea unesi na ukunga. Yeye anataka kusomea Clinical medicine. Tafadhali anaejua process za kubadilisha kozi kwenye vyuo hivi vya kati ambavyo viko chini ya Nactevet a nisaidie tafadhali.
 
Aende private
 
Back
Top Bottom