Nisaidie tafadhali nimechanganyikiwa.

Nisaidie tafadhali nimechanganyikiwa.

ladypeace

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Posts
935
Reaction score
506
Mimi ni binti mwenye umli wa miaka 29 tokea nilipoamua kujiingiza na maswala ya mahusiano na kuanza kufanya tendo la ndoa sijawahi hisi raha ya tendo hilo hata kidogo.Nilijalibu waeleza lafiki zangu wakanishauli kuwa niachane na mpenzi wangu labda simpendi nimeishi kwa mda nikafall na mtu ninaempenda sana lakini tatizo ni hilohilo tendo hili limekuwa athabu kwangu maana nafanya tu kumlidhisha mpenzi wangu.Mbaya zaidi huwa sipati hamu ya tendo la ndoa hata nikikaa mda mrefu sana bila kuinvolve nalo najisikia tu hamu ya romance na kubembelezwa lakini sex hapana,hii inanipa shida sana kwenye mahusiano maana mpenzi anaweza kuwa ananihitaji mimi wala hata sina mpango nae zaidi naona ananiboa tu.
Naomba nisaidie ninashida ganinaogopa hata kuwazia suala la ndoa maana naona itanishinda.
 
Pole mdada,ila yawezekana kale katia hamu kameondolewa mpaka mwisho, kwani ww umepitia jando?.Tufahamishe ili tuweze kupata mahali pa kuanzia mana umetuacha hewani
 
Wewe ni kabila gani maybe walishakunyofoa siku nyingi... next time mwambie ajaribu kuzama chumvini kwanza kuona kama unasisimka Uvipi...
 
Wewe ni kabila gani maybe walishakunyofoa siku nyingi... next time mwambie ajaribu kuzama chumvini kwanza kuona kama unasisimka Uvipi...
Sijakeketwa wala kupelekwa jando hata kufanyiwa chochote
Kinachohusiana na mila na desturi.
 
Pole mdada,ila yawezekana kale katia hamu kameondolewa mpaka mwisho, kwani ww umepitia jando?.Tufahamishe ili tuweze kupata mahali pa kuanzia mana umetuacha hewani

Hapana sijapita jando wala fanyiwa chochote kinachohusiana na mila na desturi.
 
Sijakeketwa wala kupelekwa jando hata kufanyiwa chochote
Kinachohusiana na mila na desturi.

Nina maswali... kibao na yanayohitaji umakini kwenye kunibu japokuwa mengine ni personal....
Huwa mnaandana kwa muda gani?

Usafi wa mwenzi wako ni wa kiasi gani?

Mazingira mnayoyafanyia yanakuwaje?

Muda mnaotuma ni muda gani?

Maumbile ya jamaa yako ni ya aina gani?

Ninakusikiza... nakunywa kahawa hapa..
 
Pole dada, muombe Mungu akupe hamu maana ndo muumbaji na muweza wa yote!!
 
Unadhani ni sawa kwa binadamu aliekamilika?

oooh yeah. That is why we have people in convents kama ma nuns. Dudu bwana ukishajua utamu wake halafu uendekeze you will be humped by everything with a dudu. Bora usijue.
 
Vipi kuhusu mzunguko wako wa mwezi upo normal kweli, unaweza ukawa na hormonal disorder.
 
Hebu niambie kwanza wewe ni kabila gani kabla sijakupa ushauri wangu!!!!!
 
oooh yeah. That is why we have people in convents kama ma nuns. Dudu bwana ukishajua utamu wake halafu uendekeze you will be humped by everything with a dudu. Bora usijue.

Haaaa iwanna know what imiss,
 
Back
Top Bottom