Nisaidie tafsiri ya nyimbo za Fally Ipupa

Nisaidie tafsiri ya nyimbo za Fally Ipupa

Nisaidie tafsiri ya nyimbo za fally ipupa
1. Alo telephone
2. ecole
nenda Youtube kuna English lyrics, usisahau na kutafuta Lyrics za wimbo wa Fally unaitwa Ndoki
anasema mchawi sio lazima awe na mapembe,hata mwanamke anayemliza Mwanaume ni mchawi tu
 
Back
Top Bottom