Tausi.
Senior Member
- Aug 29, 2011
- 123
- 48
Ni matumaini yangu wazima wa afya tele.
Tumshukuru Bwana Mungu wetu kwa hilo.
Nina mdogowangu alimaliza form 4 mwaka 2010,
alipata div 3 ila hatukuweza kumpeleka popote kulingana na uchumi wa familia yetu,
kwa sasa amepata mfadhili wa kumsomesha chuo na
anataka asomee mambo ya laboratory technology, je?? kwa hapa dar
mwenye uelewa wa chuo chochote cha fani hiyo, na isiwe galama kubwa
na ikiwezekana iwe day ninaomba anijulishe ili nifanye mchakato
kwa mwaka kesho aweze kujiunga na chuo.
Asanteni.