Nisaidien hili wanashelia

Nisaidien hili wanashelia

RJ85

Member
Joined
Feb 15, 2013
Posts
22
Reaction score
4
Kijana mmoja aitwae jimmy,alikuwa anaitaji kujifunza sheria kwa mwanasheri akiwa hana pesa ya kughalamia malipo ya ada,
akaomba ajifunze kwa mkataba kwamba atalipa hiyo pesa iwapo akimaliza na kushinda kesi yake kwanza,
alipo maliza kusoma jimmy hakujiusisha na sheria,kwa hiyo uwezekano wa kushinda kesi haukuwepo

mwalim wake akampeleka mahakani kudai haki yake ya kulipwa kutokana na mkataba walioingia na jimmy kuwa atamlipa akishinda kesi yake ya kwanza,
Kabla ya kuitwa mahakamani mwalim alienda kwa mwanafunzi wake kumkejeri

Mwalim"jimyy umejichongea utanilipa kwa namna yoyote ile,iwapo nikishinda kesi ww utakuwa umeshindwa mahakama itamulu unilipe...nikishindwa kesi utakuwa umeshinda,utanilipa kwa mujibu wa mkataba wetu(ukishinda kesi ya kwanza),
hapo huna pa kutokea jimmy twende mahakamani ukanilipe

jimmy... Unajidanya mwalim,nikishinda kesi maana yake sina hatia,sitokulipa.

Na iwapo nikishindwa itabidi usubili kesi nyingine kwa mujibu wa mkataba wetu,
"Intakulipa nikishinda kesi ya kwanza"

Hapa tunafanyaje KISHERIA
 
Nadhani ulikuwa unamaanisha wanasheria na si wanashelia!
 
hadi kufikia hatua ya kupeleka kesi mahakamani ni kwamba mahakama ndo itaamua kama huo mkataba utekelezwe au usitekelezwe, sasa mwalimu anaposema atakama ashindwe inabidi alipwe anakosea sababu kama kesi ni huo mkataba na mahakama itatoa hukumu kupitia huo mkataba.Kwhiyo kama jimmy akishnda bsi hatomlipa mwalimu na mwalimu akishinda basi jimmy atamlipa.
 
Back
Top Bottom