Nisaidien Jamani!!!

Mbona unapata shida hivyo? Mnunulie soda na mayai mawili umpelekee tu, haizidi hata elfu moja.
 
ungeweza kumshtaki kwa wazazi wako ili wakusaidie... pole sana

 
Huyo boss we mpotezee tu wala asikutishe na cheo chake. Just imagine ndo wewe sasa unamkuta mchumba wako umpendae anakusaliti na kuamua kuzini na boss wake! Utajisikiaje??
Wewe kweli ni Great thinker na si Threat thinker.
 
tafuta simu inayorekodi na urekodi matukio yote hayo na kisha mteme kwani umri wako bado mdogo na urekodi video kwa kuweka simu kwenye mfuko wako wa shati jepepesi akianza visa rekodi akitishia kukufukuza kazi mpeleke ngazi husika.MAISHA NI MSIMAMO pole sana
 
Kuna mambo ya kuzingatia kama afya, nafaida ya baadae. ila uchaguzi ni wako kazi au mke coz kazi nzuri =mke mzuri. kazi hakuna=mke kicheche. akili kumkichwa
 
hiii nayo ni shida ya kuomba ushauri????????

siku hizi wanaume wanazidi kupungua,wanabaki wavulana tu naona

There we are together, The Boss! Anataka tumshauri kuwa amchukue bosi wake? Au ampe kwa siri?
 
Kapime nae HIV,kama yupo fresh kunywa VALUU+KARANGA MBICHI+MCHUZI WA PWEZA!! Then Ingia Nae on 6x6!! halafu uje kutupa jibu lake
 
ungeweza kumshtaki kwa wazazi wako ili wakusaidie... pole sana
we king'asti wewe, libaba lizima likashitaki kwa wazazi? Kwanza ana bahati, hafanyi kazi kwa mzungu, anafanya kazi ya serikali, siamwambie tu kuwa hapendi?
 
Kapime nae HIV,kama yupo fresh kunywa VALUU+KARANGA MBICHI+MCHUZI WA PWEZA!! Then Ingia Nae on 6x6!! halafu uje kutupa jibu lake
Hapa tupo pamoja ila nina shaka sijui kama keshawai kulala kwenye 6x6 maana washazoea vitanda vya ngozi.
 
Yero endo subai kula hio kitu acha ushamba wewe au unataka urudi kwenu ukachunge ng'ombe.
 
Achana na hilo li vuvuzela limekwepa mishale mingi hadi na mikuki juu,piga game na nyumri kijana.
 
Sijajua kama humtaki ama vipi!Na kama humtaki nini kinakufanya umkatae?Sababu ya msingi itakufanya upate jibu na mahali pa kusimamia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…