brasy coco
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 1,489
- 900
Habari Jf;mimi nina ndugu yangu ambaye miaka miwili nyuma alikuwa yupo na mwili wake namanisha alikuwa na nyama nyama kidogo ila hakuwa mnene sana lakini tangu aje zanzibar amekuwa akikonda sana, kula anakula milo mitatu na vitu vngne na pesa anapata wakati mwingne maana anasoma chuo cha utalii zanzibar,,,ni kijana mwenye umri wa miaka 24 amekuwa akikonda mpaka anapoteza muonekano wake mzuri wa zaman. Roho inaniuma sana nmejaribu kumpima Virusi Vya Ukimwi hana Lakin anakonda bila kuumwa chochote Nimemuhoji na kumpeleleza labla anastress nyingi, labla hapendi kuishi zanzibar anataka kurudi dar lakin akasema anapapenda na nkagundua ana mawazo ya kawaida kama binadamu ambayo hawez kosa, lakini bado anakonda. Afanye nini aweze walau kupata mwili kidogo anenepe kidogo sisemi awe kama Asha boko au JB hapana ila awe kawaida jaman naombeni msaada wenu ntashukuru kwa wote wataonisaidia plz msikoment ujinga jamani hili ni tatzo na sijui nimsaidieje hata yeye anajiulza why anakonda apendi kuwa vile.Help Me Plz.Kwa huku hakuna madaktari wale wenye kujua saikolojia ya mtu labla wangenisaidia naumia sana juu ya ndugu yangu naombeni mnisaidia kwani nampenda sana na