Nisaidien mbinu nzuri nataka kuacha mke

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,409
yani ilikua ajari mbaya sana nikajikuta nimeoa mke,ambaye muda mfupi bdae nikagundua hanifai,nakiri nilikurupuka,simmaind *ila yy hajui na sitaki agundue mapema,ananipenda ila me no! so nataka njia ambayo haina mafarakano ya muda mrefu na nikimuacha nisipate lawama mazee watu wote wakubali.*ila kumbuka sbb ya kutaka kumiacha sio tamaa,moyo wangu hauna tabia hazendani,sijisikii kuwa nampenda nk.
 

ni ajali mbaya sana huyu mwanamke kuolewa na hayawani kama wewe..................nadhani itabidi kupitwishe sheria ya kupimwa magonjwa ya akili kabla ya watu kuoana!
 
kuacha ni kuacha tu na usitegeme kutopata lawama umeshasema mkeo anakupenda unatafuta nini kingine kila la heri kwenye maamuz yako
 
namuaonea huruma huyo dada aliyependa mahali asikopendwa. Hakuna ajali ktk swala la ndoa. We sema ushapata nyumba ndogo.
 
Una wazo finyo sana watu wanajitahidi kujenga wewe unabomoa bora ufe mkeo abaki mjane kuliko upupu unaotaka kufanya.
hv ww unataka nife na ukimwi kwa kutembea nje,huoni bora*nimuache ili awe safe,na mm niwe na mwingine kwa kwa utulivu wa mwili na roho,naiita ajari coz sijawahi kuwaza *kuna siku nitaoa na kutoka nje siipendi hiyo tabia
 
Ukimwacha huyo utakuwa mtu wa kuoa na kuacha siku zote. Ndoa ni msalaba ambao ukiutua madhara yake ni makubwa.
 
mueleze hisia zako kama ulivyoeleza hapa
labda yaya atakuwa na ushauri bora zaidi
 
Hebu niwafafanulie vzuri huyu mke nilichguliwa nilipokwenda kutembelea kjjn kwetu, nilishawishiwa na wkubwa zangu,nikajikuta nimeoa but sikushikiwa bastola ningeweza kumkataa ningependa,ila nilifoswa lazima nirudi na mke kutoka hapo
 
mueleze hisia zako kama ulivyoeleza hapa
labda yaya atakuwa na ushauri bora zaidi

Nadhani kile kitabu chako hajakisoma huyu, kingemfaa. Ila nmekumbuka akipata nyumba ndogo huyu atahamia kabisa afu itakuwa kinyume na zile guidelines
 
kama kqweli huyo mwanamke anakupnda, fikiria mara mbili kabla hujamwacha. Kumpata mtu anayekupenda siku hizi ni kitu kigumu kuliko mpunga kuota jangwani. nakushauri, badala ya kiufikiria kumwacha, fikiria jinsi ya kumzawadia mtu anayempenda mtu asiyempenda. nadhani kuna mwanamke mwingine umemuona ndiye anasumbua akili yako. Nakuona unaruka jivu, utakapokanyaga, nakuhakikishia, patakuwa na makaa ya moto
 

Amekukosea nini sasa mpaka umuadhibu kiasi hicho?ukimuacha tu utajuta na wakati huo yeye hatakuwa na nafasi yako tena,we endekeza tamaa zako za kishamba uje uone.
 
Ulifunga ndoa? Kama ulifunga ndoa,nenda kanisana ama kwa shehe mkaivunje hiyo ndoa. Lakini kumbuka alichokiunganisha mungu mwanadamu hawezi kutenganisha. Ili yeye asijutie, jutia kwanza wewe. Sikutishi ila nakwambia kuwa UKIACHA UTAOA NA KUENDELEA NA KUACHA. Shetani atakuwa na wewe. Laana siyo tu kutoka kwa mama yako. Kama una vijihela vinakusumbua, utaishiwa na utamkumbuka huyo utaemwacha. Mungu akutangulie. Naamini wewe ni kijana mwenye upeo mzuri sana. Kaa na mkeo huyo mkisaidiana ktk mawazo ya maendeleo.
 
Hebu niwafafanulie vzuri huyu mke nilichguliwa nilipokwenda kutembelea kjjn kwetu, nilishawishiwa na wkubwa zangu,nikajikuta nimeoa but sikushikiwa bastola ningeweza kumkataa ningependa,ila nilifoswa lazima nirudi na mke kutoka hapo

wewe nawe mara ulifosiwa mala ulioa ili uwe unananiliu, mbona hueleweki?
 
nadhani unatakiwa usiamini kama ni ajari isipokuwa unatakiwa kukaa chini na kuanza kuangalia nini unatakiwa ukifanye kuanzia sasa.. kama zile kero unanzoziona kaa nae muongee na umweleze nini anatakiwa afanye ..

usibabaike na hao unao ona wa maana kwa sasa kumbuka mke unae ndani unaringanisha na hawala inakuw haina maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…