ww umenena vema mpzkama guilty inakusumbua basi unampenda,otherwise usingejiuliza mara mbili......
yani ilikua ajari mbaya sana nikajikuta nimeoa mke,ambaye muda mfupi bdae nikagundua hanifai,nakiri nilikurupuka,simmaind *ila yy hajui na sitaki agundue mapema,ananipenda ila me no! so nataka njia ambayo haina mafarakano ya muda mrefu na nikimuacha nisipate lawama mazee watu wote wakubali.*ila kumbuka sbb ya kutaka kumiacha sio tamaa,moyo wangu hauna tabia hazendani,sijisikii kuwa nampenda nk.
kama shida ndiyo hiyo kwanini usiombe ushauri wa kuboresha nyumba yako unaomba wa ku bomoa.itakuwa jambo la busara kama maamuzi yako utayafanya ndani ya miaka kumi kuwaza juu ya unalotaka kufanya then ndo uchukue hatua kila la herihv ww unataka nife na ukimwi kwa kutembea nje,huoni bora*nimuache ili awe safe,na mm niwe na mwingine kwa kwa utulivu wa mwili na roho,naiita ajari coz sijawahi kuwaza *kuna siku nitaoa na kutoka nje siipendi hiyo tabia
Nipe contact zake mkuu mi nikimubandua tu nae hatakupenda tena hivyo mtaachana kimyakimya!yani ilikua ajari mbaya sana nikajikuta nimeoa mke,ambaye muda mfupi bdae nikagundua hanifai,nakiri nilikurupuka,simmaind *ila yy hajui na sitaki agundue mapema,ananipenda ila me no! so nataka njia ambayo haina mafarakano ya muda mrefu na nikimuacha nisipate lawama mazee watu wote wakubali.*ila kumbuka sbb ya kutaka kumiacha sio tamaa,moyo wangu hauna tabia hazendani,sijisikii kuwa nampenda nk.
Kabla ya kukupa mbinu za kumuacha mke wako tupe sababu zilizo kufanya mpaka umuowe? jambo la pili una umri gani? jambo la Tatu tangu umuowe mumesha ishi nae muda gani? je wewe umesha chuma nae? je wewe na yeye .mke wako muna dini gani? Mkuu Natanguliza hayo Mkuu wangu yahoo.yani ilikua ajari mbaya sana nikajikuta nimeoa mke,ambaye muda mfupi bdae nikagundua hanifai,nakiri nilikurupuka,simmaind *ila yy hajui na sitaki agundue mapema,ananipenda ila me no! so nataka njia ambayo haina mafarakano ya muda mrefu na nikimuacha nisipate lawama mazee watu wote wakubali.*ila kumbuka sbb ya kutaka kumiacha sio tamaa,moyo wangu hauna tabia hazendani,sijisikii kuwa nampenda nk.
yani ilikua ajari mbaya sana nikajikuta nimeoa mke,ambaye muda mfupi bdae nikagundua hanifai,nakiri nilikurupuka,simmaind *ila yy hajui na sitaki agundue mapema,ananipenda ila me no! so nataka njia ambayo haina mafarakano ya muda mrefu na nikimuacha nisipate lawama mazee watu wote wakubali.*ila kumbuka sbb ya kutaka kumiacha sio tamaa,moyo wangu hauna tabia hazendani,sijisikii kuwa nampenda nk.
Tehtehtehe Mungi Waswahili husema hivi (Mkuki kwa nguruwe? Kwa Binadamu ni mchungu) sasa wewe unasema unataka awe Rafiki yako ili umbandue mke wake Makubwa hayo je akikwambia na wewe umuonyeshe mke wako au mpenzi wako utakubali ili ambandue ?umenifanya siku yangu ya leo nicheke sanaaaaa Makubwa hayooKatika wapumbavu na wewe ni namba 1, yaani umembanjua mpaka umemchoka sasa umeona hakufai! Unaruka mkojo lazima utakanyaga mavi wewe! Anyway, fanya hivi: jenga uhusiano wa karibu na rafiki yako wa kiume, umtambulishe kwake, them umpe huyo rafiki yako namba za mke wako, umpe fungu la kutosha kufanya kazi ya kumtongoza mpaka akubali, akishakubali na kupeana miadi jamaa akufahamishe watakutana wapi, gesti gani chumba gani na saa ngapi, then utie timu hapo hakuna ujanja. Kama vipi nishirikishe mimi mwenyewe unitambulishe kwa mkeo, unipe namba zake, pamoja na pesa za kutosha ya kumtongoza nakulipia gesti! Hata nikimbanjua nitakuambia mkeo mgumu hakubali, huku mi nabanjua kama kawaida.
Tehtehtehe Mungi Waswahili husema hivi (Mkuki kwa nguruwe? Kwa Binadamu ni mchungu) sasa wewe unasema unataka awe Rafiki yako ili umbandue mke wake Makubwa hayo je akikwambia na wewe umuonyeshe mke wako au mpenzi wako utakubali ili ambandue ?umenifanya siku yangu ya leo nicheke sanaaaaa Makubwa hayoo
yani ilikua ajari mbaya sana nikajikuta nimeoa mke,ambaye muda mfupi bdae nikagundua hanifai,nakiri nilikurupuka,simmaind *ila yy hajui na sitaki agundue mapema,ananipenda ila me no! so nataka njia ambayo haina mafarakano ya muda mrefu na nikimuacha nisipate lawama mazee watu wote wakubali.*ila kumbuka sbb ya kutaka kumiacha sio tamaa,moyo wangu hauna tabia hazendani,sijisikii kuwa nampenda nk.
Ashakum si matusi, ww ni mpumbavu! naomba nikuhoji! Je ulifunga ndoa kanisani, msikitini au Bomani?yani ilikua ajari mbaya sana nikajikuta nimeoa mke,ambaye muda mfupi bdae nikagundua hanifai,nakiri nilikurupuka,simmaind *ila yy hajui na sitaki agundue mapema,ananipenda ila me no! so nataka njia ambayo haina mafarakano ya muda mrefu na nikimuacha nisipate lawama mazee watu wote wakubali.*ila kumbuka sbb ya kutaka kumiacha sio tamaa,moyo wangu hauna tabia hazendani,sijisikii kuwa nampenda nk.