Nisaidien nifanye nn ili aniache na maisha yangu

Kwani alishakudo mara ngapi?
 
sijamaanisha ukaolewe mke wa pili,kwanza mwanaume useless kiasi hicho utampeleka wapi mamii? waambie wazazi wake waongee nae,kama alikua anajua amekuweka akiba ya mke wa pili afanye sasa.otherwise apotee kwenye maisha yako!
Wala hata cmpendi tena so sitaweza kuolewa nae,asante kwa ushauri king'asti.
 
jitahidi kulimaliza hili tatizo kiustaarabu ili kupunguza madhara baada ya tatizo
 
Mzalie mtoto, atakukimbia kabisa na hata kufuatilia tena
 
jitahidi kulimaliza hili tatizo kiustaarabu ili kupunguza madhara baada ya tatizo
Ndicho ninachohitaji zaidi,sitaki visasi wala maadui maishani.
 
BI CANTALISIA MBONA ISHU SIMPO TUU HIYO....naomba unipe nafasi niwe mtu wako japo kwa muda mfupi tuu kisha mpatie namba yangu ili anitishie maisha aone nitachomfanya.. yani kama namwona navyomfanya kitu mbaya na ubabe wake wa kitoto...blallifulli
 
Ndicho ninachohitaji zaidi,sitaki visasi wala maadui maishani.

nashukuru sana ...
  1. je ni muda gani toka mmeachana nae na kuanza visa ???
  2. watu wako na wake wa karibu wanalielewa hili sakata???
  3. je ukiongea na watu wake wa karibu wanasemaje kuhusu kuachana kwenu ??
  4. je unaelewa maisha yake na familia yake kwa sasa yakoje kimahusiano??
 
BI CANTALISIA MBONA ISHU SIMPO TUU HIYO....naomba unipe nafasi niwe mtu wako japo kwa muda mfupi tuu kisha mpatie namba yangu ili anitishie maisha aone nitachomfanya.. yani kama namwona navyomfanya kitu mbaya na ubabe wake wa kitoto...blallifulli
Ninachotaka ni namna ya kumaliza hili tatatizo kati yangu na yeye bila kuhusisha mtu wangu,nifanyeje?
 
1.Tangu tumeachana ni mwaka mmoja na miezi 5, na ameanza visa mwezi wa nanne mwaka huu.
2.Tangu ameanza visa sijamshirikisha mtu wake yoyote, ila yeye jana ndio kampigia dada yangu anionye nisiwe na mpnz tena.
3.Siku za mwanzoni tulipoachana watu wake wengi hawakupenda tuachane na walinisihi tufikirie upya tuyamalize ila ndio ilishindikana.
4.Kwakweli maisha yake ya kimahusiano siyajui, zaidi ya kujua ameoa na anaishi na mkewe basi.
 
cantalisia...sorry kama ntakua naku offend but ni kwa mema tu....apo juu nimeona umesema kama hutaki maadui maishani...n.k....alikua haku abuse while analewa sana enzi zenu?mana una sound kama unauogopa uyo mtu saaaaana or ni mpenzi wako wa kwanza,meaning you lack experience kwenye mambo kama haya(gender equality)...
jamaa ana play rough ,hiyo haikupi nafasi ya wewe kulipiza kuwa rough but ku play your cards in a way ambayo haitapokelewa vizuri na mr.haambiliki.....
Kamwe usitegemee move utakayo ifanya iki involve kum push jamaa away hutopata adui...
Kama hutaki maadui maishani basi mrudie 2 mr.haambiliki(u prove ur inferioritymkwake as usual) opposite to that uyo mr. Ndo ur namba 1 enemy...
 
vyema ...
  1. anapoishi wewe na yeye kuna ukaribu au urahisi wa kuonana?
  2. je rafiki zake wa karibu unawafahamu hasa ambao married?
  3. je ni lazima kutumia namba hiyo hiyo??
  4. huwezi kublock namba yake?
 
Wala hujaoffend, kiukweli sio km ni mwoga kihivyo,sikutaka kuwa na maamuzi ya kukurupuka ndio maana nimelileta hapa kwa wadau ili nipate mawazo na ushauri kabla sijaamua kufanya lolote, kwan kurudia haitatokea kamwe,na hakuna mtu anapenda kuwa na adui,najua km yeye ndie adui yangu ndio maana natafuta solution niishi kwa amani.
 
tatizo ni kuwa hao wanaume unaowapata wote doko! look for a man and not a boy.
 
vyema ...
  1. anapoishi wewe na yeye kuna ukaribu au urahisi wa kuonana?
  2. je rafiki zake wa karibu unawafahamu hasa ambao married?
  3. je ni lazima kutumia namba hiyo hiyo??
  4. huwezi kublock namba yake?
1.hakuna ukaribu ni sehemu ya kupanda gari mawili ndio ufike kwa mwingine na ndio maana nashangaa ni kwa namna gani anaweza kunifatilia kwa kiasi hiki.
2.Yes kuna wawili nawafahau ambao wameoa.
3.Nina umuhimu sana wa kuitumia hii namba yangu kwani iko kwenye cv yangu na still natafuta kazi na naweza tafutwa nikawa sipatikani kule nilikotuma cv yangu.
4.Kuiblock naweza ila kwa anatumia namba tofauti tofauti ila yakwake nawea kuiblock.
 
BI CANTALISIA MBONA ISHU SIMPO TUU HIYO....naomba unipe nafasi niwe mtu wako japo kwa muda mfupi tuu kisha mpatie namba yangu ili anitishie maisha aone nitachomfanya.. yani kama namwona navyomfanya kitu mbaya na ubabe wake wa kitoto...blallifulli

ahahahaaaaaaaaa!..nafikiri hili litamsaidia mkuu,......dawa ya bishoo ni kua bishoo zaidi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…