Nisaidien wenzangu et bei ya nyumba za shirika za nyumba

Nisaidien wenzangu et bei ya nyumba za shirika za nyumba

Nyumba za NHC ni za maghorofa, hope this info is useful for you.
 
Kwa kuuliza tu humu inaoenaka kwamba unamaisha ya kawaida kama sie wanzako.

Mie nakushauri Jenga ya kwako .Zile nyumba ghali.

Airtel wamenunu zile nyumba tatu kigamboni kwa NHC,na kuna nyingine zilikuwapo ila ni Tsh:75,000,000
 
Bei ya kupanga au kununua nyumba? Tembelea tovuti yao
 
Kununua au kujengewa ndogo tu za familia ndogo
 
Back
Top Bottom