Nisaidieni baba yenu na maneno haya

Nisaidieni baba yenu na maneno haya

Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
7,672
Reaction score
9,039
Kila nikisoma maoni ya wanangu kwenye uga huu nakutana na maneno mawili yanayonipa shida. Maneno haya ni dushelele na magamushi. Wenye kujua maana yake nipe elimu baba yenu maana ni muda mrefu tangu nitoke huko kaya. Kila la heri,
Father of all
 
magumashi ni mambo ambayo ya kitapelitapi au yasio halali au wakati mwingine yasio rasmi.
unasikia mtu anakwambia ahaa sitaweza kupata kitu fulani wanabana ngoja nifanye magumashi.

wakati mwingine mtumuaji huweza kutumia neni hili kwa maana tofauti kulingana na muktadha.
 
Mzee dushelele ngoja aje Ali kiba nadhan anaielewa vizuri. Tatizo hawa vijana wetu wa siku hiz wana kamusi zao!
 
Back
Top Bottom