Kila nikisoma maoni ya wanangu kwenye uga huu nakutana na maneno mawili yanayonipa shida. Maneno haya ni dushelele na magamushi. Wenye kujua maana yake nipe elimu baba yenu maana ni muda mrefu tangu nitoke huko kaya. Kila la heri,
Father of all
magumashi ni mambo ambayo ya kitapelitapi au yasio halali au wakati mwingine yasio rasmi.
unasikia mtu anakwambia ahaa sitaweza kupata kitu fulani wanabana ngoja nifanye magumashi.
wakati mwingine mtumuaji huweza kutumia neni hili kwa maana tofauti kulingana na muktadha.