1 1954tanu JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 1,038 Reaction score 487 May 26, 2015 #1 Naomba kujua bei ya vitunguu mikoani hususani Tanga, Same, Morogoro,Singida na kwingineko. Nataka ile bei ya mkulima sio ya mtu wa kati au mchuuzi/mlanguzi Asanteni.
Naomba kujua bei ya vitunguu mikoani hususani Tanga, Same, Morogoro,Singida na kwingineko. Nataka ile bei ya mkulima sio ya mtu wa kati au mchuuzi/mlanguzi Asanteni.