Salam kwenu wana JF. Natamani kufanya biashara inayohusiana na mitandao..mfano Uwakala wa Fahari huduma...Equity bank...Mpesa... Tigo pesa nk...nsaidieni wakuu. Kuna mfadhili anataka kunisaidia amehitaji business plan. Nami sijui nianzie wapi..natanguliza shukrani