Usiwe unashinda njaa, hiyo ni dalili ya vidonda nya tumbo
nenda ukapime damu. huenda ukawa na upungufu wa damu.
KIZUNGUZUNGU NI DALILI MBAYAnatumai wazima jaman
nimekuwa nikisumbuliwa na kizunguzungu,mara ya kwanza nilijua ni typhoid kwan nilikuwa nayo.bt now natumia dozi ya typhoid lakini kinanipata.lakini siku nikishinda na njaa labda asubuh au mchana bas ndo kinakuja.kinakuwa cha dk mbili hv kikali halafu kinaacha hadi siku nikikaa na njaa tena.sijajua kama ni njaa kweli au ni kitu kingne.natumain jf mtansaidia
natumai wazima jaman

Mkuu jitahidi kunywa maji mengi,pia maziwa yanasaidia sana hapa.