Nisaidieni chuo kinachotoa taaluma ya kuendesha mitambo ya barabara

Nisaidieni chuo kinachotoa taaluma ya kuendesha mitambo ya barabara

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
1,002
Reaction score
277
Ndugu wanajf wenzangu nimekwishatafuta chuo hicho kwa hapa nchini bila mafanikio.Tafadhali kwa anayefahamu naomba anisaidie ili niweze kufahamu inapopatikana elimu hiyo ya kuendesha mitambo hiyo hasa ile ya kulima barabara.
 
kkipo morogoro kuna rafiki yangu amesoma pale....nitakupm namba yake ila asijue kama nimekupa kwa msaada zaidi
 
kkipo morogoro kuna rafiki yangu amesoma pale....nitakupm namba yake ila asijue kama nimekupa kwa msaada zaidi

Nitashukuru sana.Jina la chuo hicho kinaitwaje? Na alisomea kozi ya mtambo upi?
 
Back
Top Bottom