KIBURUDISHO JF-Expert Member Joined Mar 28, 2011 Posts 1,002 Reaction score 277 Aug 30, 2012 #1 Ndugu wanajf wenzangu nimekwishatafuta chuo hicho kwa hapa nchini bila mafanikio.Tafadhali kwa anayefahamu naomba anisaidie ili niweze kufahamu inapopatikana elimu hiyo ya kuendesha mitambo hiyo hasa ile ya kulima barabara.
Ndugu wanajf wenzangu nimekwishatafuta chuo hicho kwa hapa nchini bila mafanikio.Tafadhali kwa anayefahamu naomba anisaidie ili niweze kufahamu inapopatikana elimu hiyo ya kuendesha mitambo hiyo hasa ile ya kulima barabara.
Mahesabu JF-Expert Member Joined Jan 27, 2008 Posts 6,658 Reaction score 6,700 Aug 30, 2012 #2 kkipo morogoro kuna rafiki yangu amesoma pale....nitakupm namba yake ila asijue kama nimekupa kwa msaada zaidi
kkipo morogoro kuna rafiki yangu amesoma pale....nitakupm namba yake ila asijue kama nimekupa kwa msaada zaidi
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Aug 30, 2012 #3 Nenda veta.
KIBURUDISHO JF-Expert Member Joined Mar 28, 2011 Posts 1,002 Reaction score 277 Aug 30, 2012 Thread starter #4 Mahesabu said: kkipo morogoro kuna rafiki yangu amesoma pale....nitakupm namba yake ila asijue kama nimekupa kwa msaada zaidi Click to expand... Nitashukuru sana.Jina la chuo hicho kinaitwaje? Na alisomea kozi ya mtambo upi?
Mahesabu said: kkipo morogoro kuna rafiki yangu amesoma pale....nitakupm namba yake ila asijue kama nimekupa kwa msaada zaidi Click to expand... Nitashukuru sana.Jina la chuo hicho kinaitwaje? Na alisomea kozi ya mtambo upi?
KIBURUDISHO JF-Expert Member Joined Mar 28, 2011 Posts 1,002 Reaction score 277 Aug 30, 2012 Thread starter #5 Perry said: Nenda veta. Click to expand... Veta ya wapi wanatoa kozi hiyo?