MALI YA BABA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 459
- 119
Ila kulia ni hisia kali fazaa hadi utoe chozi ni kaziNa wewe jifunze kulia, tena muonyeshe wewe unalia kuliko yule wa mwanzo.
Inawezekana huyo mpaa aone mwanaume analia, ndo anamuonea huruma.
yule wa mwanzo alikuwa analia wakati anamtongoza or wakati wa game...? just curious maana hiyo nayo yaweza kuwa mbinu nzuri ya kumtokea/kumkoleza mtu!
Wewe naye lazima ujifunze skills, mimi naweza kujiliza wakati silii na machozi ya katoka...wewe hujui kucheka pia kunatoa machozi.Ila kulia ni hisia kali fazaa hadi utoe chozi ni kazi