Naomba mnisaidie kazi nimemaliza Diploma ya social science na ndani ya kozi nimesoma masomo kama sociology, psychology, methods of social science research, field work and field report writting haya ni baadhi ya masomo katika kozi niliyosoma, naomba kwa yoyote atakayeguswa anisaidie hata kupitia ndugu, jamaa au rafiki anayejua atawezakunisaidia kwa hili awasiliane nami kwa email yangu madata84@yahoo.com asanteni mbarikiwe sana.