Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
eeh!LAZIMA ITOKE.hivi demu ambaye ni bikra akisex kwa mara ya kwanza ni lazima damu itoke? namaanisha bikra inapotolewa, hoja zenu wana JF
eeh!LAZIMA ITOKE.
funga na thredi yako kabisa
eeh!LAZIMA ITOKE.
funga na thredi yako kabisa
hapana.
si lazima itoke japo mara nyingi inatoka.
kuna mambo mengine hapo husababisha isitoke na ikabaki kuwa kweli mwanamke alikuwa bikira. mfano
1. ukubwa wa kifaa cha mwanaume,
2. athari za mazoezi ya viungo aliyopata mwanamke kama alikwa mwanamichezo,
3. kiwango cha majimaji ya ukeni wakati wa kujamiiana (wengine ni wakavu ama hawajaandaliwa vizuri),
4. saikolojia ya mama. mfano ukimbaka, anaweza kuwa si bikira na bado damu ikatoka,
5. muundo wa ndani wa uke, nk.
hivyo msipotoshe mambo